RACHEL'S CHOICE EVENTS
Rachel's Choice Events
Friday, May 25, 2012
RECHO KIZUNGUZUNGU, RAY C KUFANYA FEATURING
Rachel Kizunguzungu ameweka wazi juu ya maandalizi ya wimbo ambao atashirikiana na msanii mkongwe wa muziki kutoka TZ Rehema Charamila (Ray c).
Rachel
Rachel amekili kuwa Ray c ndiye msanii wa kuigwa kwa upande wake na anazikubali kazi zake kwasababu anaamini kuwa anaweza.
Maandalizi/mazoezi ya kazi ya wawili hao yanatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Ray c
2 comments:
me
May 25, 2012 at 10:35 AM
kazi nzuri
Reply
Delete
Replies
Reply
amina
May 25, 2012 at 10:40 AM
sasa sauti si zitakuwa zinafanana sana
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Decor By Racheldndaukarachelschoiceevents
Usher and His Ex-Wife Sling Accusations in Nasty Custody Battle
Usher and Tameka Foster in happier times (Mark Sullivan/WireImage) Usher's marriage to celebrity stylist Tameka Foster was brief, bu...
IRENE MWAMFUPE coming soon
Kaa mkao wa kula hadithi nzuri zenye mafundisho, burudani na ushauri kutoka kwa Irene Mwamfupe Ndauka. coming soooon
BURIANI PATRICK MUTESA MAFISANGO
Gari alilokuwa akiendesha marehemu Patrick Mafisango. picha baada ya ajari MWILI wa kiungo mahiri wa SImba SC, Patric...
kazi nzuri
ReplyDeletesasa sauti si zitakuwa zinafanana sana
ReplyDelete