Friday, May 25, 2012

RECHO KIZUNGUZUNGU, RAY C KUFANYA FEATURING

Rachel Kizunguzungu ameweka wazi juu ya maandalizi ya wimbo ambao atashirikiana na msanii mkongwe wa muziki kutoka TZ Rehema Charamila (Ray c).

                                    Rachel


Rachel amekili kuwa Ray c ndiye msanii wa kuigwa kwa upande wake na anazikubali kazi zake kwasababu anaamini kuwa anaweza.

Maandalizi/mazoezi ya kazi ya wawili hao yanatarajiwa kuanza hivi karibuni.



             Ray c

2 comments: