Thursday, May 10, 2012

Mrembo wa kwanza kutangazwa RAHWA AFEWORK kiuwakilisha ERITREA katika mashindano ya urembo ya miss East Afrika mwaka 2012 ambayo yanatarajia kufanyika september 7 mwaka huu jijini Dar es salaam.
Mashindano hayo yatashirikisha nchi za wenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Somaria.

No comments:

Post a Comment