Thursday, May 10, 2012

GIZA SOOOOON - Nchi kutojipanga...



kutokana na habari zinazosemekana kuwa kina cha maji kimeshuka, kuna wasiwasi mkubwa wa nchi kuwa gizani kwa kipindi......  hivyo basi nashauri kufanya maandalizi ya kutafuta njia mbadala za kuwawezesha kupata nishati hiyo ili kuepukana na utafutaji wa mishumaa na vibatari wakati wa giza.


                                                                                                     

No comments:

Post a Comment