Friday, May 11, 2012

TANESCO UZEMBE - FULL KUJIACHIA!!

  

kutokana na mvua kuendelea kunyesha kwa wingi nyaya za umeme ambazo zimechakaa/hazikoimara zinakatika na kusababisha shoti ya umeme na hivyo kuleta hofu kwa wakazi wanaongukwa na maeneo yenye nguzo zilizokaa kwa muda mrefu na kuonekana kuchakaa na vile vile ni hatari kubwa hasa kwa watoto wadogo. wapi tanesco kurekebisha matatizo kama haya.


No comments:

Post a Comment