Sunday, May 13, 2012

MAONYESHO YA KEKI YALIYOFANYIKA DIAMOND JUBILEE


Keki iliyotengenezwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani.



Keki yenye mfano wa meli ya Titanic.



Hiki sio kitanda jamani ni keki nzuuuri.


Nitoke vipi, kibongo gongo au?


                                                               niceeeeee.




                                                        wow!

 

 

                               Kama mti vile,!




duu, its very nice.


 

 Ni baadhi tu ya keki zilizokuwepo kwenye maonyesho ya keki hii leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee.

No comments:

Post a Comment