Mhe Joseph Mbilinyi aka SUGU akizunguza na wahandishi wa habari kuhusiana na shoo itakayofanyika katika uwanja wa taifa wa burudani DAR LIVE, jumamosi ya 3,6,2012, akisindikizwa na PROFESA J, JUMA NATURE na kundi zima la TMK, VINEGA, na wengine kibao.
Nyimbo kibao zitaangushwa kutoka kwa mwana hip hop mkongwe.
SUGU N A PROFESA J.
No comments:
Post a Comment