Monday, May 21, 2012

USAFISHAJI WA MITARO MANISPAA ZAKO WAPI?


ni moja kati ya mitaro mingi iliyojaa  na haijazibuliwa.  Jukumu la manispaa ya jiji.


moja kati ya maeneo mengi jijini Dar es salaam yanayofanyika biashara ya chakula huku pembeni kuna mtaro uliojaa maji machafu.
mmmmmm




Inatia kinyaa kwakweli, na hapa mvua haijanyesha, ikinyesha inakuwa balaa zaidi, kipindupindu waziwazi. Manispaa ya jiji mmeliona hilo?













1 comment: