Baadhi
ya Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Kigamboni City 2012
wakiwa katika picha ya poamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea
katika ukumbi wa ndani wa Brake Point Outdor jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss
Kigamboni City 2012 wakimsikiliza Mwalimu wao Laura Kombe aliyekuwa akiwapa
maelekezo wakati wa mazoezi yao yanayoendelea.
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redds Miss Kigamboni City 2012 wakifanya
mazoezi ya wimbo wao wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea
katika ukumbi wa ndani wa Brake Point Outdor jijini Dar es Salaam jana.
Jumla ya warembo 15 wanajifua kwaajili ya kuwania taji hilo.

No comments:
Post a Comment