Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond
Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja wenye thamani ya ‘mkwanja wa
Kibongo Milioni 60 keshi.
Akizungumza na Teentz.com muda mfupi baada ya kupokea ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa mpango mzima wa kuingia kwake hapa Bongo, Diamond alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini kuna mambo kadhaa yakawa …

“Nashukuru
Mungu kuwa mpango wangu umetimia, nilipanga hivi kitambo lakini kuna
baadhi ya mambo yalichelewesha hatua hiyo, najua watu watasenama mengi
kuhusu hili lakini ukweli ni kuwa huu ni mchuma wangu” alisema
Diamond.

No comments:
Post a Comment