Filam inayokwenda kwa jina la LOVE ME OR LOVE ME NOT iliyotayarishwa na Ndauka intertaiment chini ya usimamizi wa Director wa kampuni hiyo Rose Ndauka imeindia sokoni wiki mbili zilizopita.
Filam hiyo imeonekana kufanya vizuri tangu kuingia sokoni kutokana na ubora wa kazi iliyofanyika katika uandaaji wa filam hiyo.
Akizungumza na Ndauka promotion blog, Rose amesema wapenzi wake wategemee kazi nzuri zinazokuja baada ya love me or love me not ikiwepo filam za action ambazo anaziandaa kwa ubora wa hali ya juu.

No comments:
Post a Comment